News

Pamoja na kupata ushindi kiduchu wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, ...
Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze ametoa wito kwa Watanzania kuliombea Taifa liwe na amani kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2025.
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesisitiza maridhiano ...
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kiteto, Isaya Chambala amesema amani ya kweli haiji bila haki, huku akiwataka ...
Wapigadebe ni sehemu ya maisha ya usafiri wa umma hasa katika maeneo ya mijini, wakijikita kutangaza au kushawishi watu ...
Wakazi wa Kibirizi mkoani hapa wameitaka Serikali ifanye ukarabati wa daraja lililofunikwa na maji yaliyosababishwa na mvua ...
Taasisi 24 za umma kati ya 78 hazikuwa na mikataba rasmi wala makubaliano ya viwango na watoa huduma wao wa mifumo ya ...
Askofu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) Nyanda za Juu Kusini, Dk Edward Mwaikali amesema muda wa kuliombea ...
Kati ya watu 6,000 hadi 12,000, wanahofiwa kuugua ugonjwa wa himofilia nchini huku idadi ya waliogundulika kuwa na ugonjwa ...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango ametoa rai kwa wazazi hususan wakinamama kuwaongoza watoto wao hasa vijana, kuacha tabia ya kushabikia vurugu wakati wa kampeni na Uchaguzi ...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haikusimamia ipasavyo matumizi ya mashine za kodi za kielektroniki (EFD), ...
Wakati vyama vya siasa vikiendelea na maandalizi kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili ...